CHANGISHA APP

CHANGISHA APPVerified organisation

Official page

TZS 2,000
Total raised
1
Donations
TZS 0
Paid out to the organisation

About us

CHANGISHA APP ni jukwaa la Kitanzania la kuchangisha fedha mtandaoni. Tunamwezesha mtu yeyote mwenye uhitaji halisi — matibabu, ada za shule, misiba, dharura — pamoja na NGO, taasisi za dini, shule na vikundi vya kijamii kupokea michango kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa. Tunachosimamia: • Uwazi — kila kampeni inaonyesha kiasi kilichochangwa na kilichotolewa. • Uthibitisho — wenye kampeni wanathibitishwa kwa NIDA, nyaraka na barua ya Serikali ya Mtaa; taasisi kwa cheti cha usajili, TIN na barua ya viongozi. • Usalama — fedha hulipwa kwenye akaunti iliyokaguliwa pekee, kwa awamu, na risiti za matumizi. Kwa kuchangia hapa, unatusaidia kuendesha na kukuza jukwaa hili kwa ajili ya Watanzania wote. — CHANGISHA APP is a Tanzanian online fundraising platform for individuals with genuine needs and for NGOs, faith organisations, schools and community groups. Donations to this page support running and growing the platform.
On CHANGISHA since
Oct 2026

Verified This is the official CHANGISHA APP page — it is also an example of what an organisation page looks like.

Our campaigns

Contact

TZS 00 donors · ongoing fund
Donate now