CHANGISHA APP

CHANGISHA APPTaasisi iliyothibitishwa

Ukurasa rasmi

TZS 2,000
Jumla iliyochangwa
1
Michango
TZS 0
Imeshatolewa kwa taasisi

Kuhusu sisi

CHANGISHA APP ni jukwaa la Kitanzania la kuchangisha fedha mtandaoni. Tunamwezesha mtu yeyote mwenye uhitaji halisi — matibabu, ada za shule, misiba, dharura — pamoja na NGO, taasisi za dini, shule na vikundi vya kijamii kupokea michango kwa M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money na HaloPesa. Tunachosimamia: • Uwazi — kila kampeni inaonyesha kiasi kilichochangwa na kilichotolewa. • Uthibitisho — wenye kampeni wanathibitishwa kwa NIDA, nyaraka na barua ya Serikali ya Mtaa; taasisi kwa cheti cha usajili, TIN na barua ya viongozi. • Usalama — fedha hulipwa kwenye akaunti iliyokaguliwa pekee, kwa awamu, na risiti za matumizi. Kwa kuchangia hapa, unatusaidia kuendesha na kukuza jukwaa hili kwa ajili ya Watanzania wote. — CHANGISHA APP is a Tanzanian online fundraising platform for individuals with genuine needs and for NGOs, faith organisations, schools and community groups. Donations to this page support running and growing the platform.
Kwenye CHANGISHA tangu
Oct 2026

Imethibitishwa Huu ni ukurasa rasmi wa CHANGISHA APP — pia ni mfano wa jinsi ukurasa wa taasisi unavyoonekana.

Kampeni zetu

Mawasiliano

TZS 00 wafadhili · mfuko endelevu
Changia sasa