❤ CHANGISHA APP

Changamoto haitabiriki. Wema wa watu unaweza kuibadilisha.

Anzisha kampeni ya kuchangisha kwa dakika chache, pata link ya kushare kwenye mitandao, na watu wachangie moja kwa moja kwa Mobile Money — M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa.

Anzisha kampeni kwa dakika chache, share link, pokea michango kwa mobile money.

✔ Kampeni zinathibitishwa ⚡ Progress live
TZS 11,500
Jumla iliyochangwa
3
Kampeni
6
Michango
0
Taasisi zilizothibitishwa →

Kampeni zinazoendelea

Zote →
Elimu

WEZESHA ADA YA SHULE

Ndugu jamaa, marafiki na wadau, Natumaini mko salama. Naomba msaada wenu wa kifedha ili kufanikisha malipo…

TZS 9,500 / TZS 1,000,000
Changia

Inavyofanya kazi

1. Anzisha

Eleza changamoto yako, weka lengo la fedha na picha. Admin ataipitia haraka.

2. Share

Pata link yako ya kipekee, ishare WhatsApp, Facebook, Instagram na X.

3. Pokea

Watu wanachangia kwa Mobile Money, progress inaonekana live, na fedha zinatumwa kwako.